Watu 80 wauawa kutokana na vurugu Kusini mwa Sudan: UN
Mapigano yaliyoibuka tena wiki iliyopita yalitokea katika majimbo ya South Kordofan na Blue Nile kati ya jeshi la Sudan na kundi la Sudan People’s Liberation Movement-North (SPLM-N) linaloongozwa na Abdel Aziz al-Hilu.