africa
-

Wapiganaji wa M23 wachukua mji muhimu wa Walikale nchini DRC licha ya jaribio la kusitisha vita
Kuchukuliwa kwa mji wa Walikale wenye wakazi takriban 60,000 mwishoni mwa siku ya Jumatano kunashiria kwamba kundi hili la wapiganaji limefika sehemu ya mbali kabisa magharibi kutoka eneo lao la awali tangu lilipojitokeza mwaka 2012.
-

NAPINGA MIJADALA POTOFU JUU YA UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI
Hoja ya mgawanyo wa majimbo ya Uchaguzi ijadiliwe kwa mapana yake
-

HRW:Kenya inapaswa kuchunguza miili iliyotupwa kwenye mgodi
Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeiomba Serikali ya Kenya kumaliza uchunguzi kuhusu miili iliyoharibiwa iliyopatikana kwenye mgodi mwaka jana, na kushughulikia madai kwamba polisi walizuia juhudi za kuchukua miili hiyo.
-

Mauti ilivyokunja mwavuli wa Prof Sarungi, gwiji wa tiba ya mifupa Tanzania
Mmoja wa zao la Tanzania waliojitolea kwa dhati, ambaye jina lake lilikuwa na ushawishi mkubwa kwa vizazi na mijadala ya kisiasa, hatimaye ameondoka jukwaani.
-

Miaka Mitatu ya Ukatili wa DRC Inahitaji Mahakama Maalum: Mwendesha Mashtaka wa ICC
Katika mahojiano alipoitembelea Kinshasa, Mwendesha Mashtaka Khan alikubali kushindwa kwa mfumo wa haki za kimataifa kuzuia ukatili wa kutisha ambao umekuwepo kwa miongo kadhaa katika eneo hili na kusema kuwa yeye ni “ana masikitiko makubwa…
-

Waziri Mkuu wa DRC asema zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) alisema Jumatatu kwamba zaidi ya watu 7,000 wamefariki mashariki mwa nchi hiyo tangu mwezi Januari, wakati kundi la M23 lililokuwa likiungwa mkono na Rwanda lilipochukua miji…
-

Bulaya:Mimi bado ni mwanachama wa Chadema
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya amesisitiza kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), isipokua suala la yeye kufukuzwa uanachama ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana mpaka leo…










