Jaji Mkuu aonya vitendo vya utovu wa maadili kwa mawakili
Prof. Juma ametoa wito huo leo tarehe 3 Julai, 2024 baada ya kuwakubali na kuwapokea Mawakili wa Kujitegemea 555 kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.