Binti wa Mshauri wa Rais Putin afariki kwa kulipukiwa na bomu lililotegwa ndani ya gari
Kulingana na wanafamilia walionukuliwa na vyombo vya habari vya Urusi, Dugin mfuasi mkubwa wa mashambulizi ya Kremlin nchini Ukraine — ndiye aliyelengwa na mlipuko huo kwani binti yake aliazima gari lake dakika za mwisho.