Covid 19
-

Tahadhari ya UVIKO 19: Wapenzi nchini Thailand wahimizwa kuvaa barakoa wanaposhiriki kitendo cha ndoa katika siku ya Valentine
Mamlaka za afya zimeelezea wasiwasi kwamba tarehe 14 Feb inaweza kuzidisha idadi ya maambukizi ya UVIKO 19
-

WHO: Athari kubwa ya janga la UVIKO 19 huenda ikaisha ifikiapo katikati ya mwaka huu
Idadi ya maambukizi mapya ya kila siku duniani ilipungua kwa wiki ya pili mfululizo, ikipungua kwa 17%
-

Digital culture fails to pay artists, says new UNESCO report
“A basic paradox has emerged, whereby people’s global consumption of, and reliance on, cultural content has increased, however, at the same time, those who produce arts and culture find it increasingly difficult to work,”
-

Habari njema, maambukizi mapya ya UVIKO 19 yaanza kupungua duniani kote
Janga la UVIKO-19 limeanza kupungua kote duniani wiki hii baada ya miezi mitatu na nusu ya ongezeko la maambukizo.
-

WHO: Idadi ya visa vya UVIKO 19 yapungua barani Afrika
Visa vya UVIKO-19 na idadi ya vifo imepungua kwa mara ya kwanza tangu wimbi la nne kuripotiwa
-

Shindano la Miss World 2021 laahirishwa baada ya Manasa Varanasi wa India na Wengine 16 Kukutwa na Covid
Tangazo hilo limetolewa Alhamisi, saa chache kabla ya hafla hiyo kuanza
-

Chanjo na kipimo cha Covid inahitajika kwa mashabiki wa Kombe la Afrika
“Mashabiki hawataweza kuingia viwanjani… isipokuwa wale waliochanjwa kikamilifu na kuonyesha kipimo cha PCR
-

Fahamu zaidi kuhusu kirusi kipya cha UVIKO 19- Omicron
visa vya kirusi cha Omicron sasa vipo katika zaidi ya nchi 20 na katika mabara yote
-

Mataifa ya Uingereza, Singapore na Ujerumani yapiga marufuku wasafiri kutoka Afrika Kusini
kirusi hicho kwa jina la kisayansi B.1.1.529, ni kirusi hatari zaidi kuwahi kuonekana kufikia sasa na kina uwezo wa kukwepa kinga.
-

Kirusi kipya cha UVIKO 19 chagunduliwa Afrika Kusini
Kirusi hicho kwa jina la kisayansi B.1.1.529 kimegunduliwa pia nchini Botswana na Hong Kong miongoni mwa wasafiri kutoka Afrika Kusini.







