Rihanna aingia kwenye orodha ya Forbes ya mabilionea
Nyota huyo ambaye anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake rapa ASAP Rocky, alitangazwa rasmi kuwa mwanamke tajiri zaidi katika muziki mwaka jana.
Nyota huyo ambaye anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake rapa ASAP Rocky, alitangazwa rasmi kuwa mwanamke tajiri zaidi katika muziki mwaka jana.
Kwa sasa Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 287.6, kulingana na Forbes.
“Inequality at such pace and scale is happening by choice, not chance…,” “Not only have our economic structures made all of us less safe against this pandemic, they are actively enabling those who are already extremely rich and powerful to exploit this crisis for their own profit.” Gabriela Bucher, Oxfam’s executive director,
Kulingana na wanahistoria, Mansa Musa bado ndio mtu tajiri zaidi aliyewahi kuishi,thamani yake kwa viwango vya fedha vya sasa ni dola bilioni 400.