Godbless Lema wa Chadema arejea nyumbani baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka mingi
Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata
Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata
Mbowe was transferred to a prison in Dar es Salaam and charged with terrorism-related offences in a case that raised international concern.
Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alikamatwa Julai Mosi pamoja na baadhi ya maofisa wengine waandamizi wa chama hicho saa chache kabla ya mkutano wa hadhara wa kudai mageuzi ya katiba.
None of the accused were in the Dar es Salaam court for Friday’s hearing, when the defence had been due to present its case.
Kesi imepangwa kuanza Machi 4, wakati Mbowe na watuhumiwa wengine watakapowasilisha utetezi wao.
Ni shahidi wa 10 katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Ni katika kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzanke watatu
Jopo la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu wamepinga hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, kwa kile walichodai kuwa hati hiyo imeandaliwa kwa sheria ambayo haipo nchini Tanzania.
Shahidi wa sita kutoka upande wa Jamhuri SSP Sebastian Madembwe, ametoa ushahidi wake mbele ya Jaji Joachim Tiganga.
Shahidi wa pili katika kesi ya Uhujumu Uchumi yenye makosa ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu leo ameileza mahakama jinsi ambavyo Mbowe alivyokua na mkakati wa kutaka kumdhuru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole.