kenya

  • Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata

    Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata

    Katika miaka 30 ya utawala wa vyama vingi vya siasa, uchaguzi katika mamlaka ya Afrika Mashariki mara nyingi umekuwa na matokeo yenye utata na kusababisha ghasia mbaya, huku wapinzani wakishutumiana kwa udanganyifu na wizi wa…

  • William Ruto declared 5th President of Kenya

    William Ruto declared 5th President of Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati on Monday 15th August declared William Ruto as the 5th President of Kenya.

  • William Ruto Rais mteule wa Kenya

    William Ruto Rais mteule wa Kenya

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati alisema Ruto amepata takriban kura milioni 7.18 (asilimia 50.49) katika kura ya Agosti 9, dhidi ya milioni 6.94 (asilimia 48.85) za mpinzani wake Raila…

  • Kenya: Ni William Ruto!

    Kenya: Ni William Ruto!

    Mteule huyu anatarajiwa kuapishwa baada ya siku 14  ambapo atapokea kijiti cha uongozi wakati ambapo nchi ina hali mbaya ya kiuchumi

  • Vijana wang’ara katika uchaguzi Kenya

    Vijana wang’ara katika uchaguzi Kenya

    Uchaguzi wa mwaka wa 2022 wa Kenya ulivutia idadi kubwa ya wanasiasa vijana wengi wakibwagwa huku wengine wakiwalambisha sakafu vigogo wa kisiasa.

  • Nakuru county makes history as multiple women appointed to occupy leadership positions

    Nakuru county makes history as multiple women appointed to occupy leadership positions

    Top leadership positions in the county have been dominated by women, resulting in sheer excitement across the country.

  • Kenya: Idadi ya wanawake magavana yaongezeka maradufu

    Kenya: Idadi ya wanawake magavana yaongezeka maradufu

    Idadi ya wanwake waliochaguliwa magavana nchini Kenya imeongezeka maradufu kutoka watatu mwaka wa 2017 hadi saba mwaka huu wa 2022

  • Faith Kipyegon wins 1500m, missing the World Record by only 0.3 secs!

    Faith Kipyegon wins 1500m, missing the World Record by only 0.3 secs!

    Kenyan World and Olympic 1500m champion Faith Kipyegon arguably produced the stand-out performance of an amazing night of track and field in balmy conditions in front of a big crowd. She clocked in the second fastest ever…

  • UN yaipongeza Kenya kwa kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani

    UN yaipongeza Kenya kwa kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani

    Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Katibu Mkuu Stéphane Dujarric kutoka New York nchini Marekani imesema, Katibu Mkuu anatambua kazi muhimu iliyofanywa na mamlaka ya Kenya pamoja na mashirika mengi yote yanayohusika na usimamizi wa uchaguzi,…

  • Wakenya wasubiri matokeo ya Urais kwa hamu na ghamu

    Wakenya wasubiri matokeo ya Urais kwa hamu na ghamu

    Wakenya, ambao baadhi yao walijipanga kabla ya alfajiri kupiga kura hapo jana, walipiga kura katika chaguzi sita na kumchagua rais mpya pamoja na maseneta, magavana, wabunge, wawakilishi wanawake na baadhi ya maafisa 1,500 wa kaunti.