Macky Sall
-

Viongozi wa ECOWAS waiondolea Mali vikwazo
Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari
-

Senegal: Mahakama yamhukumu mbunge wa upinzani kwa kuendelea na maandamano yaliyopigwa marufuku
Mahakama ya Senegal Jumanne ilimkabidhi mbunge wa upinzani kifungo cha miezi sita jela kwa kukaidi marufuku iliyowekwa kwa maandamano wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa wabunge
-

Kiongozi wa Umoja wa Afrika kuzungumza na Putin Ijumaa nchini Urusi
Ziara hiyo iliandaliwa baada ya mwaliko wa Putin, na Sall atasafiri na rais wa Tume ya Umoja wa Afrika
-

Senegal yawakamata watatu kwa vifo vya watoto wachanga kwenye moto hospitalini
Mkasa huo ulikuwa wa hivi punde zaidi katika mfululizo wa matukio mabaya yaliyoangazia mapungufu katika mfumo wa afya wa Senegal.
-

Mkuu wa AU ana wasiwasi kuhusu mvutano wa Rwanda na DR Congo
Mzozo wa kidiplomasia kati ya majirani hao wawili unaongezeka, huku pande zote mbili zikishutumiana kusaidia wanamgambo wenye silaha katika eneo la Goma
-

Waziri wa afya wa Senegal afutwa kazi baada ya ajali ya moto hospitalini kusababisha vifo vya watoto wachanga 11
Rais wa Senegal Macky Sall amemfuta kazi waziri wake wa afya siku ya Alhamisi nchi hiyo ikiomboleza kifo cha watoto 11 katika moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme hospitalini
-

Senegal: Watoto 11 wafariki katika ajali ya moto hospitalini
Mkasa huo ulitokea katika Hospitali ya Mame Abdou Aziz Sy Dabakh mjini Tivaouane, na ulisababishwa na hililafu ya umeme kulingana na mwanasiasa Diop Sy.
-

Mkuu wa Umoja wa Afrika atangaza ziara mjini Moscow, Kyiv
Rais wa Senegal Macky Sall alisema atasafiri hadi Urusi na Ukraine hivi karibuni kwa niaba ya Umoja wa Afrika,kama rais wa muungano huo.
-

Zelensky aomba kuhutubia Umoja wa Afrika
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameomba kuhutubia Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall alisema Jumatatu. Sall, mwenyekiti wa sasa wa AU, alitweet kwamba yeye na Zelenskyy walikuwa wamejadili kwa njia ya simu athari…
-

Afisa wa Senegal asimamishwa kazi kwa matamshi yake juu ya wanawake na Uislamu
Rais alimuondoa Papa Amadou Sarr kutoka wadhifa wake wa uwaziri kama mjumbe mkuu katika shirika linaloitwa Fast-track Entrepreneurship for Women and Young People







