Karua Awasili Uganda Kuhudhuria Kesi Ya Besigye Baada Ya Kufurushwa Tanzania
Katika taarifa yake kupitia akaunti yake ya X, Karua alidai kuingia kwao Uganda kulikuwa kwa taratibu, kwa kuzingatia kanuni za mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).