Mgombea wa Upinzani Nigeria amteua mgombea mwenza katika uchaguzi wa 2023
Abubakar, mgombea wa chama cha Peoples Democratic Party (PDP) anawania kiti cha urais kwa mara ya sita na atakuwa anakabiliana na mgombea wa chama tawala na gavana wa zamani wa Lagos Bola Tinubu