Mwanzo Media
-

Cholera kills over 1,200 in Malawi, threatens neighbours: WHO
Malawi has been battling its worst cholera outbreak on record, with nearly 37,000 cases reported since March 2022
-

Earthquake kills more than 4,800 in Turkey, Syria
The first massive 7.8-magnitude quake struck early Monday
-

Daktari wa Shirika la Afya Duniani aliyetekwa nyara nchini Mali ameachiliwa
Haikuwa wazi ni nani aliyemteka daktari
-

Polisi wa Kenya wamehukumiwa kwa mauaji ya wakili wa haki za binadamu
Maafisa watatu wa polisi wa Kenya walihukumiwa kifungo cha kuanzia miaka 24 jela hadi hukumu ya kifo kwa mauaji ya kikatili ya wakili Willie Kimani
-

#KENYA: Walimu wakamatwa kwa kuwalazimisha wanafunzi wachanga kufanya vitendo vya kiutu uzima
Video hiyo ilionyesha wavulana wanne waliovalia sare za shule wakiiga vitendo vya ngono chini ya mti katika eneo la shule huku walimu wakitazama
-

Idris Elba kufungua studio ya filamu nchini Tanzania
Hii ni baada ya Elba na mkewe, Sabrina Elba, kukutana na Rais Suluhu kando ya Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos, Uswizi, mapema mwezi huu
-

Ushauri wa usafiri wa KLM umezua hasira nchini Kenya na Tanzania
Shirika hilo la ndege, ambalo linamilikiwa na Air France KLM, liliomba msamaha kwa serikali ya Kenya, likisema ushauri huo “umekusudiwa kwa wateja wetu nchini Tanzania pekee”.
-

Tanzania opposition leader Tundu Lissu returns from exile
Lissu, who was shot 16 times in 2017 and has spent most of the years since in Belgium, arrived on a flight from Brussels via Addis Ababa
-

Tundu Lissu apokewa kwa kishindo nchini Tanzania
Lissu amerejea nchini baada ya kuwa uhamishoni kwa zaidi ya miaka 7
-

Kenyan rugby ace Collins Injera retires aged 36
Kenya’s all-time top try scorer Collins Injera announced his retirement on Tuesday after a 17-year rugby career







