Chadema:Hatujui viongozi wetu wanashikiliwa wapi
Naibu Katibu Mkuu Bara Benson Kigaila amewaeleza wanahabari kwamba viongozi hao wote wako chini ya mikono ya Polisi lakini Polisi hawataki kuwaonyesha wapi walipo hali inayowapa hofu juu ya usalama wao.