Mwanzotv.com
-

Chadema, Msajili bado vuta nikuvute, wapeleka kesi Mahakamani
Kwa mujibu wa CHADEMA, Msajili wa Vyama vya Siasa amekiuka Katiba kwa kudai kuwa uteuzi wa viongozi wa CHADEMA una dosari za kikatiba, akitaka nafasi hizo kujazwa upya huku akipuuzia mamlaka halali ya vikao vya…
-

The Chanzo yaondoa maudhui ya Askofu Gwajima kufuatia wito wa TCRA
Katika video hiyo, Askofu Gwajima, ambaye pia ni kiongozi wa dini, alizungumza na wanahabari tarehe 24 Mei, 2025, akitoa maoni kuhusu mfululizo wa matukio ya utekaji yanayodaiwa kutokea nchini Tanzania. Maudhui hayo yalichapishwa kwenye chaneli…
-

Uganda yasitisha ushirikiano wa Kijeshi na Ujerumani kwa tuhuma za Uhaini
Jeshi la Uganda (UPDF) limetangaza kusitisha mara moja ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, likimtuhumu Balozi wa Ujerumani nchini humo, Matthias Schauer, kwa kuendesha “shughuli za kihaini” ndani ya taifa hilo la Afrika Mashariki.
-

Majimbo mapya ya Uchaguzi yaliyotangazwa na INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanzishwa kwa majimbo mapya nane ya uchaguzi pamoja na kubadilishwa kwa majina ya majimbo mengine 12, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
-

Martha Karua: Kenya iko katika hali ya siasa na uchumi isiyovumilika
Mwanasiasa mkongwe Martha Karua ametangaza nia yake ya kugombea urais wa Kenya katika uchaguzi wa mwaka 2027, akisema kuwa nchi hiyo iko “katika hali ya vurugu kamili” kutokana na ufisadi, mauaji yanayotekelezwa na polisi, na…
-

Siasa za visasi zadaiwa kukitafuna CHADEMA, G55 watangaza kujiondoa
Kundi la viongozi wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), maarufu kama G55, limetangaza rasmi kujiondoa katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania, likidai kukithiri kwa ukiukwaji wa katiba, ubaguzi na siasa…
-

Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Mei 19, Mahakama yatoa onyo
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, imeahirishwa kwa siku 13 hadi Mei 19, 2025, baada ya upande wa Jamhuri kueleza kuwa upelelezi haujakamilika.










