Mwanzotv.com
-

Bunge la Ulaya kujadili kesi ya Tundu Lissu Mei 7, 2025.
Bunge la Ulaya linatarajia kukutana tarehe 7 Mei 2025 kwa ajili ya mjadala wa dharura kuhusu kesi inayomkabili Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu.
-

Lissu ni ama afikishwe Mahakamani kesho ama aanze mgomo wa kula akiwa gerezani
Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa alikamatwa tarehe 9 Aprili 2025 majira ya saa za jioni akiwa Ruvuma muda mchache mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Mbinga.Usiku huo huo alisafirishwa hadi…
-

Uganda yakamata mtuhumiwa mkuu wa Utekaji wa Mtalii wa Marekani Mwaka 2019
Kimberly Sue Endicott, raia wa Marekani, pamoja na dereva wake raia wa Uganda walitekwa nyara tarehe 2 Aprili, 2019 na watu wenye silaha waliodai fidia ya dola 500,000 za Kimarekani.
-

Wafuasi wa Chadema Mwanza wapigwa marufuku kufanya mikusanyiko kesho Lissu akifikishwa mahakamani
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limetoa tahadhari kwa wananchi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaopanga kufanya mikusanyiko na maandamano ya kuishinikiza Serikali kuachiwa huru Mwenyekiti wa chama hicho Taifa ambaye…
-

Kiongozi wa Upinzani Ivory Coast, Tidjane Thiam,aondolewa kwenye nafasi ya kugombea Urais
Thiam, ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa kiongozi wa chama cha Democratic Party of Ivory Coast (PDCI), ameondolewa kwa madai kuwa alipoteza uraia wa Ivory Coast baada ya kupata uraia wa Ufaransa mwaka 1987.
-

Majaliwa atoa maagizo kwa TANROADS kuhusu ukarabati wa madaraja
Ametoa agizo hilo leo Jumatano (Aprili 16, 2025) alipokagua maendeleo ya ukarabati wa madaraja katika maeneo ya Matandu na Somanga Mtama, Wilaya Kilwa Mkoani Lindi kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam – Lindi yaliyokuwa…
-

Chama cha kuwatetea Walimu chaja na mapya, walimu wanadai zaidi ya billion 12
Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za watumishi wa kada ya ualimu kwa kushirikiana na Chama Cha walimu…










