Tanzania news
-

Bulaya:Mimi bado ni mwanachama wa Chadema
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya amesisitiza kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), isipokua suala la yeye kufukuzwa uanachama ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana mpaka leo…
-

Wanahabari nchini Tanzania kuanza kutumia kadi za habari za kidijitali
Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa kuanzia mwaka huu, wanahabari nchini Tanzania watatolewa kadi za habari za kidijitali kama sehemu ya mpango wa serikali wa kuboresha sekta ya habari.
-

Tanzania yakanusha uwepo wa mwekezaji aliyepewa bandari ya Bagamoyo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Tanzania imesaini mkataba wa kuipa Kampuni ya Saudi-Africa Development Company (SADC) haki ya kuendesha Bandari ya Bagamoyo.
-

Mgogoro wa DRC unaendelea huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa amani
Kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda liliongeza mashambulizi yake siku ya Alhamisi kupitia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na linaonekana kuwa na nia ya kuchukua mji muhimu, huku Katibu Mkuu wa…
-

Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo katika Mahakama ya Kisutu
Hii leo inatajwa kwa ajili ya kuangaliwa iwapo upelelezi wa kesi umekamilika, ingawa imefungwa mikono kuendelea na hatua zaidi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini kuwasilisha kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga…












