Tanzania news
-

Ushiriki mdogo wa wapiga kura wakati Tanzania inapiga kura bila upinzani
Idadi ndogo ya wapiga kura imeonekana katika vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam leo Jumatano, wakati ambapo wapinzani wakuu wa Rais Samia Suluhu Hassan wengine wakiwa gerezani na wengine wamezuiwa kugombea.
-

Polisi:Kuna watu wanaandaa taarifa za upotoshaji kuleta taharuki
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema kuwa baadhi ya taarifa hizo zimeandaliwa kwa uangalifu ili kuzalisha taharuki, ikiwemo kuchukua matukio yaliyotokea katika nchi nyingine, kuyatengeneza upya, kisha kuyaunganisha na sauti za Kiswahili zenye lafudhi ya…
-

Watanzania wajiandaa kupiga kura kesho
Tume zote mbili INEC kwa Tanzania Bara na ZEC kwa Zanzibar zimeahidi kufanya uchaguzi ulio huru, wa amani na unaozingatia sheria. Mashirika ya kiraia na waangalizi wa kimataifa pia wanatarajiwa kufuatilia mchakato huo unaotazamwa kama…
-

Kesi ya Lissu:Hatima ya vielelezo vya video kesi ya Lissu kujulikana Jumatano
Lissu, ambaye anajitetea mwenyewe, anakabiliwa na shtaka la uhaini yanayodaiwa kutokana na matamshi aliyotoa Aprili 3,2025. Alikamatwa Aprili 9, 2025 mkoani Ruvuma na kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam, ambako anakabiliwa na kesi hiyo mbele…
-

Kesi ya Uhaini ya Lissu: Shahidi wa pili amaliza ushahidi, mtaalamu wa picha aanza kuhojiwa
Awali leo kabla ya kuendelea na shahidi wa tatu mahakamani Lissu ambaye anajitetea mwenyewe katika kesi hiyo alimalizia maswali ya dodoso ambayo kimsingi alizungumzia kuhusu picha mjongeo ama video ambayo abadaiwa kuochapisha.
-

Kesi dhidi ya vigogo wa Chadema yapigwa kalenda
Katika kesi hiyo, vigogo hao wa CHADEMA wanatuhumiwa kukiuka amri ya Mahakama Kuu iliyotolewa Juni 10, 2025, kufuatia uwepo wa kesi ya madai inayohusu usawa kwenye mgawanyo wa mali ndani ya CHADEMA, inayosikilizwa chini ya…
-

Kesi ya Lissu yaahirishwa kufuatia kifo cha Msajili wa Mahakama Kuu
Kesi hiyo, ambayo leo inachukua siku ya saba tangu ianze kusikilizwa kwa hatua ushahidi imekuwa ikivuta hisia za wananchi na wadau wa sheria, ilianza kusikilizwa majira ya saa tatu asubuhi ambapo Kahaya alianza kutoa ushahidi…
-

Elimu ya Kidato cha nne ya Shahidi yazua mvutano kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Kesi hiyo ambayo ilianza kusikilizwa majira ya saa tatu asubuhi mbele ya jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, Lissu aliendelea na zoezi la kumhoji kwa kina shahidi huyo wa pili wa upande…









