Tanzania
-

Tanzania: Nani kukalia kiti cha Uspika Tanzania?
Wenye misemo yao wanasema kwa sasa habari ya mjini ni kuhusu nani atakalia kiti cha Uspika wa bunge la Tanzania?
-

Tanzania turns tables on Kenya as exports grow to $396m
The trade wars are a drag on what the region could achieve under a more open trade regime.
-

Tanzania’s speaker of parliament quits
Job Ndugai infuriated President Samia Suluhu last week when he criticized her over what he called Tanzania’s “excessive” foreign borrowing.
-
Rais Samia Suluhu, Oprah, Rihanna kwenye orodha ya Forbes ya wanawake wenye ushawishi mkubwa
Orodha hiyo ya Forbes inayojumuisha wanasiasa, watu mashuhuri na wanawake wafanyabiashara.
-

JWTZ yatoa tahadhari dhidi ya matapeli
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza taarifa za baadhi ya watu waliowaita matapeli.
-

Watu saba wamefariki kwa kula samaki mwenye sumu
Watu 7 wamefariki dunia na wengine 24 kulazwa katika Hospitali ya Wilaya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kula kitoweo cha samaki aina ya kasa anayedaiwa kuwa na sumu.
-

Jaji Siyani awataka Naibu Wasajili kutimiza majukumu yao kikamilifu
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani amewataka Naibu Wasajili kutimiza majukumu yao kikamilifu ili kuchochea maendeleo ya Mahakama.
-
Tanzania: Wanafunzi waliopata ujauzito ruksa kurudi shule
Kwa mujibu wa Waziri Ndalichako wanafunzi watakaotaka kurejea shule wataruhusiwa kufanya hivyo ndani ya miaka miwili baada ya kuwa nje ya mfumo rasmi
-

Nyimbo zilizomshambulia Rais Felix Tshisekedi zapigwa marufuku DR Congo
Maafisa wa udhibiti wa muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) walikuwa wamepiga marufuku nyimbo mbili zinazomshambulia Rais Felix Tshisekedi. Kufikia Jumatano jioni maafisa wa udhibiti wa muziki walikuwa wameondoa marufuku kwa wimbo mmoja “Nini…
-

KINA MBOWE WAWEKA PINGAMIZI LINGINE TENA
Jopo la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu wamepinga hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, kwa kile walichodai kuwa hati hiyo imeandaliwa kwa sheria…







