Tanzania
-

Waziri aingilia kati sakata la kupanda kwa bei za vinywaji na vifaa vya ujenzi
Asema hataki kuamini kama kweli kupanda kwa bei za bidhaa hizo kumesababishwa na mahitaji yake katika soko
-

Shahidi augua ghafla akiwa kizimbani wakati akitoa ushahidi
Ni shahidi wa 10 katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
-

Nyuma ya pazia kuhusu soko la Karume ilivyowafanya wamachinga kuandamana
Wadai kupata taarifa kuwa eneo la soko hilo liko mbioni kukodishwa kwa mwekezaji
-

Polisi watumia mabomu kuwatawanya Wamachinga
Ni baada ya wafanyabiashara hao kuishinikiza Serikali iwaache waendelee kufanya biashara
-

Wamachinga waandamana hadi ofisi ya mkuu wa mkoa Dar
Wasema hawana imani na maamuzi yanayochukuliwa na viongozi wa Serikali, kutokana na wanachofanyiwa na Polisi
-

Jina la Rais Mwinyi laibuka kwenye kesi ya Mbowe
Jina hilo limeibuliwa na wakili wa utetezi John Mallya wakati akimuhoji shahidi maswali
-

Rais Samia akerwa na wanaovujisha siri za Serikali
Asema suala la kutunza siri za Serikali limekuwa ni kama maradhi
-

Shahidi akana kuhusika kumkamata Tito Magoti, Eric Kabendera na kupotea kwa Ben Saanane
Ni katika kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzanke watatu
-

Tanzania: Samia awalilia waliofariki ajali Simiyu
Watu 14 wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Simiyu








