Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka dada yeke.
Mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, Frank Kigomba (31) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Shilingi 500,000 kwa kosa la kumbaka dada yake wa tumbo moja mwenye umri wa miaka 15.