Dk Mpango alitaka jeshi la Polisi Tanzania kutowaonea raia
Ameyasema hayo leo Agosti 18 alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania Inspekta Jenerali Camillus Wambura katika ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.