Ofisa wa Polisi atiwa mbaroni kwa kuwaachia watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi
Jeshi la Polisi mkoani Tanga limemkamata ofisa wake anayedaiwa kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2.