Msafara wa Rais wa Nigeria washambuliwa na watu wasiojulikana.
Shambulio hilo linadhihirisha kuwa hali ya usalama nchini Nigeria ni mbaya kutokana na makundi ya uhalifu yanazuka kila uchwao
Shambulio hilo linadhihirisha kuwa hali ya usalama nchini Nigeria ni mbaya kutokana na makundi ya uhalifu yanazuka kila uchwao
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti huo baada ya kupata mtoto wao wa kwanza, kuongeza idadi ya watoto kwa wasichana vigori imekuwa ni kawaida.
Akizungumza shuleni hapo alipotembelea shule hiyo kutoa pole na kujionea madhara ya moto huo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge alisema tukio lilitokea alfajiri, wakati wanafunzi hao wakiwa kwenye ibada msikitini.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma, Maweni Dkt, Stanley Binagi amethibitisha kifo cha mtoto huyo kilichotokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro akiwa njiani kupelekwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.
Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Adam Mambi imeahirishwa leo Jumanne, tarehe 5 Julai 2022, hadi Jumatatu ijayo ya tarehe 11 Julai 2022.
Kwa upande wa watahiniwa waliofanya vizuri zaidi kitaifa katika mtihani huo kwenye masomo ya sayansi, wasichana wamekuwa kinara ambapo wako saba wote kutoka Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu, iliyoko mkoani Tanga, huku wa kiume wakiwa watatu kutoka Shule ya Tabora Boys, ya mkoani Tabora
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilihamia kwa muda jana katika hospitali hiyo kwa ajili ya kumsomea Kipande mashtaka yanayomkabili kuanzia saa 8:57 hadi saa 9:08 mchana, likiwamo la kuisababishia TPA hasara ya shilingi bilioni 4.2.
Samaki huyo alivuliwa na wavuvi wa hiyari, ambao hutega nyavu zao baharini, ambazo hubeba chochote kilichopo Baharini.
Rais Samia amechukua uamuzi huo saa chache baada kusema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa utekelezaji majukumu yao
Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa kwenye kilabu cha pombe za kienyeji na alipotoka nje kujisaidia akakutana na watu hao na kumkata kwa kutumia kisu.