Bajeti ya Tanzania kupigiwa kura leo
Wabunge wanapata fursa ya kupiga kura baada ya siku saba za majadiliano tangu bajeti hiyo ilipowasilishwa bungeni jijini Dodoma Juni 13 mwaka huu, ikiwa ni bajeti ya nne.
Wabunge wanapata fursa ya kupiga kura baada ya siku saba za majadiliano tangu bajeti hiyo ilipowasilishwa bungeni jijini Dodoma Juni 13 mwaka huu, ikiwa ni bajeti ya nne.
Jana Juni 18, 2024 Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson, alilitangazia bunge na kutoa amri chini ya mamlaka aliyonayo ya kumfikisha mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kutokana na kwamba amelidharau bunge na mamlaka ya Spika.
Serikali imezindua ujenzi wa majengo pacha ya ghorofa 22 kila moja jijini Nairobi, Kenya, yatakayotumika kama Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi kwa ajili ya kuongeza fedha za kigeni.
Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini umesema Tanzania haijasaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini humo.
Torrential rainfall in Kenya, Tanzania and neighbouring nations killed more than 500 people
Kenya’s sports ministry had said in April it would be closing Nairobi’s two main stadiums and another in Eldoret for renovations to prepare for the 2027 AFCON which Kenya will host jointly with Tanzania and Uganda.
Kukatika kwa mtandao kwa sasa katika Afrika Mashariki kunahusisha kukatwa mara tatu kwa nyaya za chini ya bahari na hitilafu katika mfumo mwingine. Ben Roberts wa Liquid Telecom aliripoti masuala na Mfumo wa Kebo wa Manowari wa Afrika Mashariki (EASSy) na nyaya za Seacom.
Samia amesema yapo mambo kadhaa yanochangia Waafrika hao kuendelea kutumia nishati isiyo safi ikiwemo gharama kubwa hususani kwa watu waishio vijijini, pia ulimwengu kwa ujumla kutoweka kipaumbele kwenye suala hilo kwa kutoa ufadhili mdogo na watu kutojua fursa za kiuchumi zitokanazo na matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Mpaka hivi leo bado huduma ya mtandao maarufu kwa kimombo Internet haiko sawasawa na Serikali ya Tanzania kupitia Msemaji wake imesema bado haijajua ni lini huduma hiyo itarejea kwa uhakika.
There are over 570 undersea cables globally, with submarine cables providing 90% of Africa’s internet needs.