Tanzania
-

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka saba.
Godi ambaye aliajiriwa kulisha ng’ombe wa bibi wa mtoto huyo alidaiwa kumtoa mwathirika chumbani kwake na kumpeleka chumba anacholala na kuanza kumbaka huku akiwa amemziba mdomo na kumtisha asimwambie mtu alichofanyiwa.
-

Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19.
Kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha Omicron BA.1.
-

Mtoto wa miaka 14 adaiwa kuwalawiti watoto wenzie 19.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Allan Bukumbi ni kwamba Mtoto huyo anadaiwa kutumia pipi na biskuti kama njia ya kuwalaghai wenzake ili akamilishe adhma yake ya kuwalawiti.
-

When should you buy or sell shares?
You must be at least 18 years old to open a brokerage account and trade shares.
-

Mbowe:Kauli ya Spika Tulia ni Ulaghai wa kisiasa
Ni kuhusu wabunge 19 wanaowakilisha bungeni kama wanachama wa CHADEMA licha ya kuwa wamevuliwa uanachama wa chama hicho.
-

CHADEMA yaweka msimamo wa kutoshiriki kongamano la TCD
Msimamo huo umetolewa leo Machi18, 2022, jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakati akitoa maazimio ya kikao cha Kamati Kuu ya Chadema, kilichofanyika Machi 16 hadi usiku wa kuamkia Machi…
-

Vita vya Ukraine: Bei za bidhaa muhimu zapanda na mfumuko wa bei washuhudiwa Afrika
“Vita vya Ukraine vinamaanisha njaa barani Afrika,” Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Kristalina Georgieva alisema Jumapili.
-

How do you love your insects? Roasted, fried or raw? Let’s talk!
Edible insects contain high quality protein, vitamins and amino acids for humans
-

Mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Magufuli
Leo ni kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo ibada maalum imefanyika kwa ajili ya kumuombea.
-

Tanzania kushiriki kikao cha Baraza la Uchumi na Jamii la Umoja wa Mataifa
Tanzania inashiriki katika kikao hicho ikiwa ni Mwenyekiti wa Nchi Wazalishaji wa Madini ya Almasi Afrika ( ADPA).







