Tanzania
-

Wasiojulikana wamuua mwanamke wa miaka 27, nchini Tanzania
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema mauaji hayo yametokea Machi 22,2022 majira ya saa nane mchana katika mtaa huo na watu ambao bado hawajajulikana.
-

Ukosevu wa fedha wasababisha Tamasha la Sauti za Busara kufungwa
Pazia la Sauti la Sauti za Busara linafungwa ikiwa ni baada ya takribani miaka 19 tangu lianze ambapo limekuwa likiwakutanisha wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.
-

Ummy:Hakuna kirusi kipya cha Corona kilichoingia Tanzania
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, amesema kirusi kipya cha Omicrom.DA 1, ambacho ni muunganiko wa virusi vya Delta na Omicrom bado hakijaingia nchini humo
-

Zaidi ya watu milioni tatu ndio waliopata chanjo kamili ya UVIKO-19 Tanzania
Waziri Ummy ameyasema hayo leo wakati akipokea msaada shehena ya chanjo ya UVIKO-19, aina SINOVAC dozi milioni moja kutoka kwa Serikali ya Uturuki
-

Mahakama yaondoa kesi ya Nondo, baada ya DPP kutokuwa na nia ya kuendelea nayo
Nondo alikuwa anashtakiwa kwa makosa mawili, moja ni kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni na mbili, kutoa taarifa za uongo kwa mtumishi wa umma Mafinga.
-

Odinga kuanza mikutano ya hadhara Machi 25
Hii ni baada ya kurejea nchini Kenya akitokea Uingereza ambako alikuwa na ziara maalum.
-

Sindano ya Cabotegravir, tiba mpya ya kuzuia maambukizi ya VVU
Sindano hiyo inachukua wiki nane kabla ya muathirika kupewa dozi nyingine badala ya tembe za kumeza
-

Maiti zatapakaa katika mji wa Mariupol nchini Ukraine.
Kulingana na Shirika la Human Rights Watch, watu waliofanikiwa kuukimbia mji huo wameelezea hali mbaya walioiacha ikiwemo maiti kutapakaa barabarani na majengo yaliyoharibiwa.
-

Mtifuano wa Steven Nyerere na wasanii wazidi kupamba moto
Steven Nyerere agoma kujiuzulu asema hadi aandikiwe barua, na hawezi kung’oka kihunihuni
-

Majambazi wakamatwa Dar wakiwa na Pistol mbili
Watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa na bunduki aina ya Pistol mbili Browning namba za usajili TZCAR 113805 na Glock 15 nambari TZCAR 9611 zikiwa na risasi sita kwenye Magazine







