Tanzania
-

Tanzania yelegeza Masharti ya wasafiri wanaoingia nchini humo.
Hii ni baada ya wimbi la Maambukizi ya virusi vya corona kupungua duniani kote
-

Watu wanne wafariki kwenye ajali Tanga
Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatano Machi 16, 2022 katika Kijiji cha Sindeni, Wilayani Handeni mkoani Tanga.
-

Adaiwa kula viungo vya binadamu, na vingine kuviuza mgahawani
Washtakiwa hao hunywa damu za marehemu, na sehemu za mwili huchomwa ama kupikwa na kula ama kuuza katika mgahawa wa Juliet.
-

LHRC yalaani tukio la askari aliyemuaa raia huko Kigoma nchini Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa leo na LHRC, imeeleza kwamba Pamoja na mamlaka waliyopewa Jeshi la Polisi ya kutuliza ghasia, bado jeshi hilo linawajibika kuheshimu, kuzingatia na kulinda misingi, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya utendaji kazi…
-

Amuua mkewe na mtoto wake kisa gunia 60 za mpunga
Chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa kifamilia kati ya wanandoa hao kugombania magunia 60 ya mpunga
-

Polisi Tanzania yataja chanzo cha askari wake kumuua raia mkoani Kigoma
Yasema askari wake alikuwa kwenye harakati za kujihami kutokana na vurugu zilizotokea.
-

Hukumu rufaa ya Sabaya na wenzake kutolewa Mei 6
Mbali na Sabaya waomba rufaa wengine ni Sylvester Nyegu na Daniel Mbura ambapo rufaa hiyo ilikuwa inasikilizwa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma, Sedekia Kisanya.
-

Balozi Polepole kupewa somo chuo cha Diplomasia kabla ya kwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Malawi.
Jana Machi 14, Rais Samia alimteua Polepole kuwa balozi ambaye anakwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Malawi, ambapo kabla ya nafasi alikuwa ni mbunge wa kuteuliwa na Rais.
-

Shahidi wa sita kesi ya Sabaya aomba ulinzi akiwa gerezani, adai kuwa Sabaya ni mtu hatari
Amedai madai hayo jana mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati akijitetea
-

Mtoto wa miaka 15 adaiwa kuwalawiti watoto wenzake 19 nchini Tanzania
Mtoto huyo amebainika jana Machi 14, baada ya Dawati la Jinsia la Polisi kwa kushirikiana na maofisa wa usitawi wa jamii wa Manispaa na Mkoa huo kufanya oparesheni ya kuwasaka watuhumiwa wa matukio ya udhalilishaji.







