Tanzania
-

Tanzania yaahidiwa kupewa Euro milioni 25 kutoka Serikali ya Ubelgiji
Serikali ya Ubelgiji imeahidi kuipatia Tanzania Euro milioni 25 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 62, kwa ajili ya kutekeleza program mpya ya maendeleo ya miaka mitano katika sekta ya elimu, inayotarajiwa kutekelezwa kuanzia mwaka…
-

Mchezaji wa Tembo Warriors apata shavu Uturuki
Leo alfajiri wachezaji wa Tembo Warriors wametoa heshima ya kumuaga mchezaji mwenzao Shedrack Hebron aliyechaguliwa kujiunga na club ya Yeditepe mjini Istanbul.
-

Aliyepandikizwa moyo wa Nguruwe afariki
Machi 9,2022 hospitali hiyo ilitangaza kifo cha mtu huyo aliyefahamika kwa jina la David Bennett(57), ambapo katika taarifa yao ilieleza kuwa afya ya Bennett ilianza kudorora na kuwa mbaya siku kadhaa zilizopita.
-

Sababu za BOT kutonunua dhahabu zatajwa
Waziri wa Madini nchini Tanzania, Dk. Doto Biteko, amesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekwama kununua dhahabu kutokana na viwanda vya uchenjuaji madini nchini humo kutoanza kufanya kazi.
-

Hospitali Muhimbili yakana kuhusika na kusambaza video za Prof Jay akiwa ICU
Video hiyo iliyosambazwa mitandaoni inamuonesha msanii huyo akiwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum yaani ICU.
-

Diwani atuhumiwa kumshambulia mwananchi kwa kipigo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema tukio hilo limetokea Machi 3, 2022 majira ya saa 2 za asubuhi.
-

Auawa baada ya kushambuliwa na Tembo hifadhi ya Ngorongoro
Kamanda wa Polisi MKoa wa Arusha ACP Justine Masejo, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema kuwa limetokea Machi 9,2022 majira ya saa 7 mchana katika kijiji cha Alaitore huko Ngorongoro.
-

Mfumuko wa bei Tanzania na Kenya washuka huku Uganda ukiongezeka
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Takwimu za Kijamii, Ruth Minja, alisema mfumuko wa bei kwa taifa unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi.
-

UN and US press South Sudan to prepare for elections
“As I have stated before, elections have the potential to be a nation-building moment, or a catastrophe,” the UN envoy for South Sudan, Nicholas Haysom, told the Security Council.
-

Moderna to build mRNA vaccine manufacturing facility in Kenya
“We all know the challenges that Kenya and the entire continent of Africa went through in the earlier stages of this pandemic that resulted in Africa being left behind. Not because of want but because…







