Tanzania

  • Wahamiaji haramu 78, raia wa Ethiopia wakamatwa

    Wahamiaji haramu 78, raia wa Ethiopia wakamatwa

    Akitoa taarifa hiyo leo, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhamiaji Mkoani Iringa, Agnes Luziga amesema raia hao wamekamatwa jana March 8, 2022 majira ya saa moja jioni.

  • Wanafunzi wa Watanzania wafanikiwa kuondoka Ukraine

    Wanafunzi wa Watanzania wafanikiwa kuondoka Ukraine

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini, Emmanuel Buhohela imesema kwa sasa hakuna mwanafunzi kutoka Tanzania aliyebaki kwenye Chuo cha Taifa cha Sumy kilichopo nchini Ukraine baada ya kundi hilo la…

  • Tahadhari ya homa ya Manjano yatolewa Tanzania

    Tahadhari ya homa ya Manjano yatolewa Tanzania

    Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022, Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea…

  • Rufaa ya Raia wa Poland yagonga ukuta Mahakama Kuu Tanzania

    Rufaa ya Raia wa Poland yagonga ukuta Mahakama Kuu Tanzania

    Nakala ya Hukumu ya rufaa hiyo imepatikana leo  2022,ambayo imetolewa na Jaji Safina Simfukwe wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, ambaye alizitupa sababu 10 za rufaa za wafungwa hao waliokuwa wakitetewa na wakili Median Mwale.

  • Ujenzi wa reli ya kisasa Dar hadi Mwanza kugharimu zaidi ya Trilioni 25

    Ujenzi wa reli ya kisasa Dar hadi Mwanza kugharimu zaidi ya Trilioni 25

    Zaidi ya shilingi Trilioni 25 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kwa vipande vya Dar es Salaam Kigoma na Dar es Salaam pamoja Mwanza

  • Amuua mpenzi wake kisa wivu wa mapezi

    Amuua mpenzi wake kisa wivu wa mapezi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simoni Maigwa amesema  tukio hilo limetokea  Februari 24, 2022

  • Hotuba ya “never and never again” ilivyosababisha Mbowe kupewa kesi ya ugaidi

    Hotuba ya “never and never again” ilivyosababisha Mbowe kupewa kesi ya ugaidi

    Mbowe ametoa madai hayo jana mkoani Iringa alipokuwa akizungumza katika kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, lililoandaliwa na Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA).

  • Askofu Bagonza:Katiba Mpya ni msaada kwa watawala

    Askofu Bagonza:Katiba Mpya ni msaada kwa watawala

    Askofu Bagonza ameyasema hayo leo kwenye sherehe ya wanawake wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chama cha CHADEMA, ambapo waliungana na wanawake wengine duniani katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo…

  • Ijue historia ya siku ya wanawake duniani.

    Ijue historia ya siku ya wanawake duniani.

    Siku ya wanawake duniani hujulikana pia kama  IWD kwa ufupi, ilikua inatokana na vuguvugu la wafanyakazi na kuwa tukio la kila mwaka linalotambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN).

  • Auawa baada ya kuuza gari yake kwa shilingi milioni 15

    Auawa baada ya kuuza gari yake kwa shilingi milioni 15

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema kuwa tukio hilo limetokea Jumamosi Machi 05, 2022 wilayani Manyoni, ambapo siku ya tukio mfanyabiashara huyo alienda mnadani kuuza gari yake shilingi milioni 15.