Tanzania
-

TEC watoa waraka wa Kwaresima,wasisitiza upatanisho, demokrasia
Waraka huo wenye kurasa 44, umetolewa na maaskofu wa katoliki 35 ikiwa leo ni Jumatano ya Majivu ambayo ni mwanzo wa kipindi cha Kwaresima, kipindi ambacho madhebu ya kikristo hutumia kipindi hiki kama sehemu pia…
-

Bei ya Mafuta ya Petroli na Dizeli yapanda nchini Tanzania
Ewura imetangaza bei hizo leo kuhusu bei za mafuta zitakazoanza kutumika kesho, imeainisha kuwa huenda gharama za mafuta zingekuwa juu zaidi kama Serikali isingeahirisha kodi ya shilingi 100 kwa kila lita moja ya mafuta.
-

Msigwa:Serikali haijalipia kuweka tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa.
Msigwa amesema tangazo hilo la Tanzania linaonekana kuitangaza nchi hiyo limewekwa kutokana na uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu.
-

Uchunguzi kufanyika chanzo cha ndege kupata ajali Comoro.
Ndege hiyo ilipata ajali ikiwa chini ya kampuni ya Airline AB Aviation ya Comoro, baada ya kuikodisha kutoka kampuni ya Fly Zanzibar na ilikuwa imeshatimiza takribani wiki moja tangu ianze kazi huko.
-

Mahakama yafuta kesi tano za Ugaidi
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao.
-

Serikali yaelekeza nguvu kwenye mikoa inayongoza kwa ukatili
Mikoa inayoongoza kwa matukio ya ukatili ikiwamo vipigo, mauaji, ubakaji imetajwa kuwa ni Mara, Manyara, Dodoma na Singida.
-

IGP Sirro atuma salamu kwa “Vishandu”
Aagiza kufanyika operesheni za kuwasaka na kuwakamata wahalifu wanaotumia pikipiki kupora raia.
-

Mganga ambaka mwanafunzi kwa madai kuwa ni masharti ya dawa
Jeshi la Polisi Mkoani Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi,anayedaiwa kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15…
-

Geita wataka V8 yao irudishwe
Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser V8, lilichukuliwa na Tamisemi mwishoni mwa mwaka 2020 kufuatia malalamiko ya Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa bei ya Sh400 milion bila ridhaa…








