Tanzania
-

Auawa baada ya kutaka kumbaka Mwanafunzi wa kidato cha pili.
Kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali waliodai kuwa kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika…
-

Mwanafunzi aandika barua ya kuacha shule kisa uvuvi
Mwanafunzi aliyechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Msimbati iliyopo mkoani Mtwara, Tanzania, amemuandikia barua mkuu wa shule hiyo ya kukataa kusoma shule.
-

Kenya set to host UN environment assembly as UNEP turns 50
“We need to take the state of the environment seriously and we hope that UNEA will have countries come up with policy decisions that will make us have a sustainable planet…”
-

Waliotuhumiwa kwa ugaidi waachiwa huru baada ya kukaa mahabusu miaka minne
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mtwara imewaachia kwa dhamana watu watatu walioshitakiwa mwaka 2017 kwa kosa la Ugaidi kwa madai ya kujiunga na kikundi cha Hisbu Tahir kinachodaiwa kushawishi watu kujiunga nacho na kuanzisha…
-

Wachimbaji wadogo kutengewa maeneo maalum Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili yao na kutoa huduma za tafiti kwa gharama nafuu.
-

Rais Samia agusia tena matukio ya mauaji nchini Tanzania
Asisitiza viongozi wa dini na machifu kuirejesha jamii karibu na Mungu kuondoa imani potofu
-

Askofu Niwemugizi amsihi Rais Samia kutokubali kulinganishwa na Mungu.
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
-

Kamati ya PAC Tanzania yabaini hasara ya bilioni 60 ATCL
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya shilingi bilioni 60.24 kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.









