Tanzania
-

Simba kurejea Tanzania kinyonge
Klabu ya SIMBA inatarajiwa kurejea nchini leo mchana majira ya saa saba ikitokea Morocco baada ya kumalizika kwa michezo yao miwili ya Kombe la Shirikisho.
-

Serikali ya Tanzania yaondoa tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta
Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa tozo ya shilingi 100 kwa lita ya mafuta ya Dizeli, mafuta ya Taa na Petroli zinazopaswa kulipwa na watumiaji wa mafuta kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia 2 Machi 2022.
-

Wavuvi watatu wahofiwa kufariki Ziwa Victoria
Watu watatu wanahofiwa kufariki dunia huku mmoja akinusurika baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvua samaki kupigwa na dhoruba na kisha kuzama.
-

Mamia ya watalii wa Ukraine wakwama Zanzibar
Indaiwa kuwa takriban watalii 1,000 wa Ukraine wamekwama katika visiwa vya Zanzibar vilivyo nchini Tanzania baada ya anga ya Ukraine kufungwa
-

Google yasitisha kuonyesha matangazo kwa vyombo vya habari vya serikali ya Urusi
Kampuni ya Google imesema haitaruhusu tena vyombo vya habari vya serikali ya Urusi kuonyesha matangazo, kufuatia uamuzi kama huo uliofanywa Jumamosi na kampuni mwenza ya video ya YouTube.
-

Mfalme Zumaridi ni nani?
Mfalme Zumaridi, mchungaji aliyeendesha ibada kwa kukanyaga migongo ya waumini wake
-

Dkt. Ndumbaro: EXPO2020 Dubai yaiweka Tanzania katika ramani ya dunia.
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amesema Maonesho ya Kibiashara ya Expo2020 Dubai yanazidi kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia
-

Majaliwa:Tutaendelea kushirikiana na mataifa mengine kudumisha amani Afrika.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na mataifa mengine ili kuhakikisha amani, ushirikiano, ustawi wa kijamii na kiuchumi unaendelea kushamiri katika nchi zote za Bara la Afrika.
-

Fainali UEFA kuchezwa Parisi badala ya Urusi
Fainali ya Ligi ya Mabingwa 2022 itachezwa jijini Paris baada ya Urusi kuvuliwa uwenyeji wa mechi hiyo kufuatia uvamizi wa taifa hilo nchini Ukraine.
-

Hakuna Mtanzania aliyepata madhara yoyote nchini Ukraine
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa hadi sasa hakuna Mtanzania aliyepata madhara yoyote kufuatia hali inayoendelea nchini Ukraine na kusababisha Serikali…







