tundu lissu
-

Shahidi wa kwanza aanza kutoa ushahidi wake kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Shahidi huyo ambaye ni Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) George Wilbart Bagemu, mwenye umri wa miaka 48, ambaye ni afisa mwandamizi wa Jeshi la Polisi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini katika taaluma ya…
-

Lissu kumtumia Rais Samia kama shahidi katika kesi yake ya Uhaini
Miongoni mwa waliotajwa pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camilius Wambura, Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai, na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Lissu pia amewataja viongozi wa kikanda wakiwemo Martha Karua, mwanasiasa na…
-

Kesi ya Lissu kuendelea Oktoba 6 kwa hatua ya ushahidi
Leo kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutolewa uamuzi mdogo kuhusu mapingamizi aliyowasilisha Lissu, ambapo alipinga uhalali wa hati ya mashtaka na pia akakosoa maelezo ya mashahidi akidai yameandikwa kinyume cha sheria.
-

Jamhuri Yapangua Hoja za Lissu, Yeye Asisitiza Hati ni Batili
Upande wa Jamhuri umejibu hoja za mshtakiwa Tundu Lissu kwa kuzipangua moja baada ya nyingine, huku Lissu naye akisisitiza kwa msimamo wake kuwa hati ya mashtaka ya uhaini inayomkabili ni batili na haina uhalali wa…












