Ukraine Withdraws from Eastern Town of Vugledar
Around 14,000 people lived in Vugledar before Russia invaded, making it one of Moscow’s more important gains in months of grinding advances across the east.
Around 14,000 people lived in Vugledar before Russia invaded, making it one of Moscow’s more important gains in months of grinding advances across the east.
Ujumbe huo uliozinduliwa na Ramaphosa mwezi uliopita unajumuisha marais wa Jamhuri ya Kongo, Misri, Senegal, Afrika Kusini, Uganda na Zambia.
Nchi za Kiafrika zimeathiriwa vibaya na ongezeko la mfumuko wa bei uliochochewa na vita hivyo, hasa katika mazao ya nafaka
Watoto watatu pia walikuwa miongoni mwa waliofariki na wengine 15 wanaendelea kupokea matibabu hospitalini.
Mashambulizi ya Urusi yamepiga miundombinu muhimu katika mikoa mitatu, na kuangusha umeme kwa mamia ya miji na vijiji kote nchini
“Vikosi vya Jeshi la Ukraine vimekomboa zaidi ya makazi 30 katika mkoa wa Kharkiv”
On Tuesday, the Polish government announced a programme to encourage refugees to move to rural areas lacking workers.
Separatist officials have long said they want their regions to eventually join Russia.
Ukraine is one of the world’s biggest exporters of wheat and other grain.
There has been an increased number of attacks against pro-Kremlin officials in Ukrainian regions that have come under Moscow control since late February.