AFCON 2021: Mabingwa mara saba Misri wapata nafasi ya kujiunga na timu 16 bora
Misri, Ivory Coast,Mali,Gambia,Malawi na Cape Verde zimefuzu kuwa kati ya timu 16 bora.