Zoezi La Kuhesabu Kura Katika Uchaguzi Mkuu Nigeria Laendelea
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
Viongozi wa kidini na wale wa kisiasa serikalini wamejitokeza kushtumu uamuzi huo wa mahakama ambao wameutaja kama kinyume na mila na desturi
Atsu mwenye umri wa miaka 31,alipatikana ameaga dunia katika vifusi vya nyumba yake mjini Hatay Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lilotokea Februari 6 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 4,000 huku maelfu ya wengine wakipata majeraha.
Pyongyang has repeatedly said it is not interested in further talks, and Kim recently called for an “exponential” increase in his country’s nuclear arsenal.
Zoezi hilo litashuhudia wanafunzi wapatao milioni 1.3 wakijiandaa kwa mitihani ya kitaifa inayotarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 28 hadi 30.
Jeshi vilevile imeanzisha mafunzo ya muigo ya kukabiliana na hali ya mapigano, ambapo wamewafunza wahandisi wa Kenya kuhusu teknolojia hiyo.
A brief statement from FIFA said that Infantino would be the only candidate when the election takes place at the 73rd FIFA Congress in Kigali, Rwanda on March 16.
Bangi hatari na bandia kama K2 na Spice, haitumiwi sana katika majimbo ambayo bangi imehalalishwa.
The UN attributes the growth to human development, with people living longer thanks to improvements in public health, nutrition, personal hygiene and medicine
Shirika la kutetea haki za binadamu, limesema kuwa mwandishi huyo wa habari alikamatwa siku ya jumapili.