Misri kupokea $500mn kutoka Benki ya Dunia ili kuimarisha usalama wa chakula
Mwagizaji mkuu wa ngano duniani Misri itapokea dola milioni 500 kutoka kwa Benki ya Dunia ili kupunguza athari za vita kati ya wasambazaji wake wakuu Urusi na Ukraine.
Mwagizaji mkuu wa ngano duniani Misri itapokea dola milioni 500 kutoka kwa Benki ya Dunia ili kupunguza athari za vita kati ya wasambazaji wake wakuu Urusi na Ukraine.
Kwa mujibu wa Waziri Ndalichako wanafunzi watakaotaka kurejea shule wataruhusiwa kufanya hivyo ndani ya miaka miwili baada ya kuwa nje ya mfumo rasmi