Yellow Vest
-

Maandamanao Ufaransa Yageuka Ghasia, Zaidi ya Waandamanaji 1000 Wakikamatwa
Maandamano yanayoendela nchini Ufaransa kupinga changamoto katika mfumo wa elimu na kupanda kwa gharama ya maisha yamegeuka kuwa ghasia, huku zaidi ya waandamanaji 1,200 wakikamatwa na majengo kadhaa kuchomwa moto na kuharibiwa. Serikali ya Ufaransa…







