Tedros ateuliwa kama mgombea pekee kwenye uongozi wa WHO
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus amehakikishiwa muhula wa pili baada ya kura ya kitaratibu Jumanne…
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus amehakikishiwa muhula wa pili baada ya kura ya kitaratibu Jumanne…
Ripoti ya shirika la kudhibiti majanga nchini Madagascar ilionyesha kuwa watu 39 wamefariki na karibu 65,000 wameachwa bila makao
According to latest data released by the Tourism Research Institute, last year, Kenya received 870,465 tourists compared to 567,848 in 2020.
Mamia ya watu walikusanyika katika uwanja wa Nation Square kusheherekea kung’olewa madarakani kwa Rais Kabore
âIf any swarms reach the Kenya/Ethiopia border, easterly and south-easterly winds are likely to carry them towards the Rift Valley in northern Kenya and southern Ethiopia, preventing movement further south into central Kenya,â said FAO.
Baraza la mawaziri lilivunjwa baada ya mazungumzo ya simu ya mkuu wa kupambana na ufisadi kuvuja na kusambaa mitandaoni
Adai alipewa shilingi milioni 1,700,000, kutekeleza mauaji hayo kisa wivu wa mapenzi.
Serikali ya jeshi ilisema katika taarifa kwamba âwanajeshi hao walitumwa nchini humo bila idhini.â
Wanawake wawili wa miaka thelathini, wanaume wanne wenye umri wa miaka thelathini, mtoto mmoja, waliuawawa katika msongamano huo
Ni baada ya Spika Ndugai na wakili wake kutofika Mahakamani hapo jana.