Wanajeshi wa Burkina Faso wamuondoa madarakani Rais Kabore
Wanajeshi wametwaa mamlaka nchini humo kufuatia maasi yaliyotokana na kushindwa kwa rais kuwadhibiti waasi wa Kiislamu.
Wanajeshi wametwaa mamlaka nchini humo kufuatia maasi yaliyotokana na kushindwa kwa rais kuwadhibiti waasi wa Kiislamu.
Mwanamume huyo anayeaminika kuwa kati ya umri wa miaka 16 hadi 35 alipatikana kwenye sehemu ya gurudumu la ndege hiyo.
Imeelezwa kwamba maduka hayo yapo kinyume cha kanuni ya Famasia
Mkasa huo umetokea wakati taifa hilo likiwa mwenyeji wa mashindano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON
Serikali ilikuwa imekanusha uvumi siku ya Jumapili kwamba mapinduzi yalikuwa yakiendelea huku milio ya risasi ikisikika katika kambi tofauti za kijeshi.
Kuvurugika kwa mfumo wa utoaji elimu iwe kwa shule kufungwa kabisa au mchanganyiko wa kusomea nyumbani na mtandaoni kumeathiri zaidi ya watoto milioni 635 duniani kote.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asema mifumo iliyopo sasa imepitwa na wakati
Armen Sarkissian, amekuwa rais tangu 2018, alikuwa katika mzozo na Waziri Mkuu Nikol Pashinyan kuhusu kufutwa kazi kwa mkuu wa majeshi.
Groups linked to Al-Qaeda and the so-called Islamic State groups have plagued the country since 2015.
Museveni and Kagame were close allies over the 1980s and 90s during struggles for power in their respective countries, before becoming bitter rivals.