Mwandamanaji aliyeoneka kwenye runinga ya Urusi huenda akahukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani
Mwezi huu Urusi ilipitisha vifungo vya sheria vya kifungo cha hadi miaka 15 jela kwa kueneza habari za uwongo zenye lengo la kudhalilisha jeshi lake, pamoja na kifungo cha hadi miaka 3 jela kwa kuitisha vikwazo dhidi ya Urusi.