March 2022
-

Watu wanne wafariki kwenye ajali Tanga
Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatano Machi 16, 2022 katika Kijiji cha Sindeni, Wilayani Handeni mkoani Tanga.
-

Adaiwa kula viungo vya binadamu, na vingine kuviuza mgahawani
Washtakiwa hao hunywa damu za marehemu, na sehemu za mwili huchomwa ama kupikwa na kula ama kuuza katika mgahawa wa Juliet.
-

LHRC yalaani tukio la askari aliyemuaa raia huko Kigoma nchini Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa leo na LHRC, imeeleza kwamba Pamoja na mamlaka waliyopewa Jeshi la Polisi ya kutuliza ghasia, bado jeshi hilo linawajibika kuheshimu, kuzingatia na kulinda misingi, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya utendaji kazi…
-

Somalia yaahirisha uchaguzi tena huku muda wa makataa ukiisha
Uchaguzi wa wabunge wa ngazi ya chini na wa juu ulipaswa kukamilishwa kabla ya muhula wa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed kukamilika Februari 2021.
-

Tembo 13 kusafirishwa kutoka Uingereza hadi Kenya katika safari ya saa 12
Kuhamishwa kwa ndovu hao hadi kwa hifadhi ya Kenya itagharimu pauni 950,000 (dola milioni 1.2), kulingana na Wakfu wa Aspinall, kikundi cha uhifadhi wa wanyama pori.
-

India imemkamata ‘daktari’ mlaghai aliyeoa wanawake 18
Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 67 alivinjari tovuti za ndoa akijifanya kuwa daktari na kuwashawishi wanawake maprofesa, wanasheria, matabibu na afisa wa kijeshi kufunga ndoa naye
-

Mwandamanaji aliyeoneka kwenye runinga ya Urusi huenda akahukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani
Mwezi huu Urusi ilipitisha vifungo vya sheria vya kifungo cha hadi miaka 15 jela kwa kueneza habari za uwongo zenye lengo la kudhalilisha jeshi lake, pamoja na kifungo cha hadi miaka 3 jela kwa kuitisha…
-

Urusi yaandikisha maelfu kutoka Syria kujiunga na vita Ukraine
Kremlin ilisema wiki iliyopita kwamba watu wa kujitolea, wakiwemo kutoka Syria, wanakaribishwa kupigana pamoja na jeshi la Urusi nchini Ukraine.
-

Amuua mkewe na mtoto wake kisa gunia 60 za mpunga
Chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa kifamilia kati ya wanandoa hao kugombania magunia 60 ya mpunga
-

Polisi Tanzania yataja chanzo cha askari wake kumuua raia mkoani Kigoma
Yasema askari wake alikuwa kwenye harakati za kujihami kutokana na vurugu zilizotokea.







