Wakazi 453 wakubali kuondoka kwa hiari hifadhi ya Ngorongoro
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari huku wengine wakiendelea kujiandikisha.