March 2022
-

Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio ya hivi punde
Umoja wa Mataifa unasema watu milioni 1.7 wameikimbia Ukraine, na kuufanya mzozo huu kuwa mkubwa zaidi na unaokuwa kwa kasi zaidi tangu Vita vya Pili vya Dunia.
-

Askofu Bagonza:Katiba Mpya ni msaada kwa watawala
Askofu Bagonza ameyasema hayo leo kwenye sherehe ya wanawake wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chama cha CHADEMA, ambapo waliungana na wanawake wengine duniani katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo…
-

Watu watano wafariki baada ya jengo kuporomoka
Jengo hilo la orofa nne liliporomoka usiku wa Jumapili katika wilaya ya Angre, ambako kumeshuhudiwa ujenzi wa majumba mengi ya biashara na makazi katika miaka ya hivi karibuni.
-

Moderna yaanzisha kituo cha kwanza cha kuzalisha chanjo ya UVIKO 19 nchini Kenya
Moderna ilisema ilitarajia kuwekeza dola milioni 500 katika kituo hicho kipya, ambacho kitatoa chanjo kwa bara la watu bilioni 1.3.
-

Ijue historia ya siku ya wanawake duniani.
Siku ya wanawake duniani hujulikana pia kama IWD kwa ufupi, ilikua inatokana na vuguvugu la wafanyakazi na kuwa tukio la kila mwaka linalotambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN).
-

Watu wanne wafariki kutokana na homa ya manjano nchini Kenya
Ugonjwa huo huenezwa na mbu wale wale wanaoneza magonjwa ya Zika na dengue.
-

Kenya: Polisi yawatia mbaroni waendesha bodaboda 16 kwa kumshambulia mwanamke
Kamanda wa Trafiki Nairobi Joshua Omukata alisema washukiwa hao 16 wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Parklands huku uchunguzi kuhusu kisa hicho ukiendelea.
-

Ukraine yakataa kutoa njia salama kwa Urusi kwa wakimbzi wanaotoroka mashambulizi
Vladamir Putin ameahidi atatimiza lengo lake kwa njia yoyote ile iwe “kwa mazungumzo au kupitia vita”
-

Auawa baada ya kuuza gari yake kwa shilingi milioni 15
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema kuwa tukio hilo limetokea Jumamosi Machi 05, 2022 wilayani Manyoni, ambapo siku ya tukio mfanyabiashara huyo alienda mnadani kuuza gari yake shilingi milioni 15.
-

Mwanafunzi nchini Kenya afanya mtihani wa Taifa baada ya kujifungua
Katibu Mkuu wa Elimu, Julius Jwan ambaye alizungumza baada ya kushuhudia kufunguliwa na kusambazwa kwa mtihani huo unaoanza leo nchini humo, kutoka kaunti ndogo ya Kisii ya Kati hadi vituo vya mitihani.







