March 2022
-

Tanzania kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis, mara baada ya kuwasili nchini akitikokea Ethiopia alikoshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri ya Umoja…
-

Nigeria’s government to airlift citizens stranded in Ukraine
African countries have been scrambling to help citizens living in Ukraine who crossed over borders especially after reports some were mistreated or blocked.
-

Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso aapishwa
Siku ya Jumanne, Damiba alitia saini kinachojulikana kama katiba ya mpito ambayo inasema uchaguzi utafanyika miezi 36 baada ya kuapishwa kwake.
-

Amuua mtoto wake wa miaka mitatu kisha atoroka
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mzazi anayefahamika kwa jina la Daniel Muga, ambaye ni fundi ujenzi na mkazi wa Bombambili Ukonga Wilaya ya Ilala jiji humo kwa tuhuma za kumuua…
-

Ujerumani kupeleka makombora zaidi ya kutungulia ndege, Ukraine
Kabla ya kuongezeka kwa mzozo huo, Ujerumani ilikuwa imeahidi tu kuchangia kwa kutoa helmeti na kusaidia kujenga hospitali huko Ukraine.
-

Mbowe na wenzake kuanza kujitetea kesho.
Mahakama hiyo Februari 18,2022 iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na wenzake katika kesi ya ugaidi inayowakabili, hatua ambayo ilikuja baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wake kwa kuwaita mahakamani mashahidi 13 kati ya…
-

Viongozi wa dini wamuomba Rais Samia kutumia busara kumaliza kesi ya Mbowe.
Hayo yamejiri jana Ikulu jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wa viongozi wa dini na Rais Samia Suluhu ikiwa ni mwendelezo wa ahadi ya rais huyo katika kukutana na makundi mbalimbali kuzungumza nayo.
-

Afisa mkuu na meya kati ya 7 waliouawa katika shambulio nchini Cameroon
Cameroon imekumbwa na ghasia tangu Oktoba 2017 baada ya wanamgambo kutangaza kuwa eneo la Kaskazini-Magharibi na eneo jirani la Kusini-Magharibi ni maeneo huru.
-

Kuna tishio la ustawi wa watoto milioni 7.5 nchini Ukraine.
Mbali na kuongezeka kwa mahitaji ya kibinadamu UNFPA ilibainisha kuwa watoto wameuawa, kujeruhiwa, na wanatiwa kiwewe sana na ghasia zinazowazunguka. Mamia kwa maelfu ya watoto wametenganishwa na familia zao na kukimbilia nchi jirani kusaka hifadhi.
-

Baraza Kuu la UN laitaka Urusi iondoke Ukraine bila masharti.
Azimio hilo namba A/ES-11/L.1 limepitishwa kwenye kikao hicho cha 11 cha dharura wakati huu ambapo Urusi inaendelea kushambulia Ukraine ambapo misingi ya azimio hilo pamoja na mambo mengine ni tangazo la tarehe 24 mwezi uliopita…







