March 2022
-

UN: At least 440 civilians killed in South Sudan clashes
The attackers reportedly moved in small groups, dressed in black, concealed their faces and spoke a combination of languages.
-

Rigobert Song kuteuliwa kuwa kocha wa Cameroon kwa amri ya rais wa taifa hilo
Waziri wa michezo Narcisse Mouelle Kombi alisema Rais wa Cameroon Paul Biya ameamuru shirikisho la soka la kitaifa kumpa kazi mlinzi huyo wa zamani wa Liverpool.
-

Mwendesha mashtaka: ICC kuanza uchunguzi kuhusu hali ‘ilivyo nchini Ukraine’
“Nimeridhika kwamba kuna msingi mzuri wa kuamini kwamba uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu umefanywa nchini Ukraine” tangu 2014, Karim khan
-

Wanadiplomasia 12 wa Urusi wa Umoja wa Mataifa wafurushwa kutoka Amerika: mjumbe wa Urusi
Ujumbe wa Urusi katika Umoja wa Mataifa una takriban wafanyikazi 100, kulingana na chanzo cha kidiplomasia cha Urusi.
-

Mtoto ajeruhiwa kwenye mlipuko uliotokea leo Ukraine
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine mlipuko huo uliharibu pia jengo la serikali, na kuzidi kuleta hofu kwa raia.
-

Je, vikwazo vilivyowekewa Urusi vitakuwa na athari gani kwa Urusi na dunia?
Vikwazo vya kiuchumi pia vinajumuisha kufungia mali ya benki na ya watu binafsi bila kujumuisha benki fulani za Kirusi kutoka kwa interbank SWIFT na udhibiti wa mauzo ya nje.
-

Serikali za Afrika zang’ang’ana kuwasaidia raia wake nchini Ukraine baada ya madai ya kudhulumiwa
Waafrika nchini Ukraine, wengi wao wakiwa wanafunzi, ni miongoni mwa mamia ya maelfu ya watu wanaojaribu kukimbilia Poland na mataifa mengine jirani.
-

Simba kurejea Tanzania kinyonge
Klabu ya SIMBA inatarajiwa kurejea nchini leo mchana majira ya saa saba ikitokea Morocco baada ya kumalizika kwa michezo yao miwili ya Kombe la Shirikisho.
-

Historia ya Ukraine na Urusi na vita vinavyoendelea
Historia na utamaduni wa Urusi na Ukraine unafanana- wanashiriki dini moja ya Kikristo ya Orthodox, na lugha zao, mila na vyakula vya kitaifa vinafanana.








