Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka saba.
Godi ambaye aliajiriwa kulisha ng’ombe wa bibi wa mtoto huyo alidaiwa kumtoa mwathirika chumbani kwake na kumpeleka chumba anacholala na kuanza kumbaka huku akiwa amemziba mdomo na kumtisha asimwambie mtu alichofanyiwa.