• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Day: April 11, 2022

Lawyer: Ex-President Jacob Zuma to miss graft trial
Africa People Politics

Lawyer: Ex-President Jacob Zuma to miss graft trial

Leah NgariApril 11, 2022April 11, 2022

Zuma, who turns 80 on Tuesday, is accused of taking bribes from French defence giant Thales.

Nigeria’s Vice President to run for president in 2023
Africa People Politics

Nigeria’s Vice President to run for president in 2023

Leah NgariApril 11, 2022April 11, 2022

Nigerian Vice President Yemi Osinbajo becomes the latest figure to join the race to lead Africa’s most populous country.

Idadi ya Watanzania wanaojisadia vichakani yapungua
Africa East Africa

Idadi ya Watanzania wanaojisadia vichakani yapungua

Asia GambaApril 11, 2022April 11, 2022

Imeelezwa kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 1.4 Desemba 2021.

Mbowe: Hatuwezi kuendelea kuwa taifa la kuoneana
Africa

Mbowe: Hatuwezi kuendelea kuwa taifa la kuoneana

Asia GambaApril 11, 2022April 15, 2022

Mbowe alitoa kauli hiyo April 10, 2022 wakati wa ziara yake katika  jimbo la Kawe jijini Dar es salaam, ikiwa ni kampeni ya mguu kwa mguu

Elon Musk hajiungi tena na bodi ya Twitter: Mkurugenzi Mtendaji
Features International People

Elon Musk hajiungi tena na bodi ya Twitter: Mkurugenzi Mtendaji

Maureen MedzaApril 11, 2022April 11, 2022

Musk alitajwa kujiunga na bodi ya Twitter baada ya kununua hisa za asilimia 9.2 na kuwa mwanahisa wake mkubwa zaidi.

CCM kuwabana Mawaziri kuhusu hali ya maisha ya Watanzania
Africa

CCM kuwabana Mawaziri kuhusu hali ya maisha ya Watanzania

Asia GambaApril 11, 2022April 11, 2022

Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, Aprili 10, 2022, alipokuwa akizungumza na viongozi na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa kumpokea na kumpongeza kwa kuchaguliwa na Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika Aprili 1, 2022 jijini Dodoma, kushika dhamana hiyo.

Rais wa zamani wa Guinea aliyeondolewa madarakani arejea baada ya matibabu nje ya nchi
Africa Features People Politics

Rais wa zamani wa Guinea aliyeondolewa madarakani arejea baada ya matibabu nje ya nchi

Maureen MedzaApril 11, 2022April 11, 2022

Conde 84 alikuwa rais wa kwanza wa Guinea kuchaguliwa kidemokrasia. Aliondolewa madarakani na maafisa wa jeshi mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Kanali Mamady Doumbouya

CCM yawaonya wanaotolea macho uchaguzi wa 2025
Africa

CCM yawaonya wanaotolea macho uchaguzi wa 2025

Asia GambaApril 11, 2022April 11, 2022

Chongolo amesema kumezuka tabia ya baadhi ya wanachama kufikiria zaidi Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa kutaka nafasi za ubunge na udiwani na kusema tabia hiyo inazorotesha shughuli za chama hicho.

Idadi ya Wafugaji jamii ya kimasai wanaohama kutoka Ngorongoro yatajwa kuongezeka
Africa

Idadi ya Wafugaji jamii ya kimasai wanaohama kutoka Ngorongoro yatajwa kuongezeka

Asia GambaApril 11, 2022April 11, 2022

Idadi ya jamii ya wafugaji wanaohama kwa hiyari kutoka katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwenda katika Kijiji cha Msomera, Wilaya ya  Handeni, mkoani Tanga imetajwa kuongezeka siku hadi siku, tangu zoezi hilo lilipoanza.

Waasi wa M23 watangaza ‘kujiondoa’ kutoka vijiji vya DR Congo
East Africa Features Politics

Waasi wa M23 watangaza ‘kujiondoa’ kutoka vijiji vya DR Congo

Maureen MedzaApril 11, 2022April 11, 2022

Kundi la M23 lilianzishwa miongoni mwa wanachama wa zamani wa wanamgambo wa Kitutsi wa Congo ambao wakati fulani waliungwa mkono na Rwanda na Uganda.

Posts navigation

Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo