Mbunge nchini Tanzania ataka wabakaji wahasiwe
Mbunge huyo ameyasema hayo kwa hisia kali ndani ya ukumbi wa bunge, wakati akichangia hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 mjini Dodoma leo.
Mbunge huyo ameyasema hayo kwa hisia kali ndani ya ukumbi wa bunge, wakati akichangia hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 mjini Dodoma leo.
Pinda ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu katika Serikali ya awamu ya nne nchini humo amejukuishwa leo kwenye Kikosi hicho kilichoteuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi ikiwa mwezi mmoja sasa umepita tangu kuanza shughuli ya kukusanya maoni hayo.
Makalla amesema hayo alipotembelea soko hilo leo kujionea uharibifu wa mali zilizoteketea moto, ambapo amesema taarifa za awali zinaonesha moto huo umeathiri takribani vibanda 453.
Mchakato wa marekebisho ya Sheria hiyo unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2022.
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria (NCDC) kilisema kufikia Jumapili visa 66 vinavyoshukiwa kuwa vya Monkeypox vimeripotiwa katika majimbo tisa kati ya 36 nchini humo na katika mji mkuu Abuja.
Atiku Abubakar, mwenye umri wa miaka 75, Muislamu wa kaskazini na mwanasiasa wa chama cha People’s Democratic Party au PDP, amewania mara kadhaa tiketi ya urais wa nchi hiyo
Mzozo wa kidiplomasia kati ya majirani hao wawili unaongezeka, huku pande zote mbili zikishutumiana kusaidia wanamgambo wenye silaha katika eneo la Goma
Sudan imekuwa ikikabiliwa na machafuko yanayozidi kuongezeka tangu Burhan aongoze mapinduzi mnamo Oktoba 25