May 31, 2022
-

Kipindi maarufu, “Real Housewives of Dubai” chazinduliwa Dubai
Kama vile mfululizo wa vipindi vya Real Housewives vinavyorekodiwa huko Amerika, onyesho hili litafuata maisha ya wanawake matajiri huko Dubai
-

Mashirika: Hatari ya njaa katika Pembe ya Afrika baada ya misimu minne ya mvua duni
Zaidi ya watu milioni 16.7 katika nchi hizo tatu wanakabiliwa na njaa kali huku idadi ikitarajiwa kuongezeka hadi milioni 20 ifikapo Septemba.
-

Serikali ya Zanzibar imesema itafidia gharama za chakula na mafuta zilizochangiwa na vita vya Urusi
Kwa mujibu wa Dk. Mwinyi, serikali ya Zanzibar inatoa shilingi bilioni 3 kila mwezi kupunguza ongezeko katika bei ya mafuta ya petroli, dizeli na yale ya taa.
-

Ahakumiwa kunyongwa kwa kumuua mama yake mzazi
Mwanasheria Temba alidai mshtakiwa Mwinga alichukua uamuzi wa kumshambulia mama yake kwa kumniga shingo na kumnyonga hadi kufa.
-

Waasi waua watu 16 katika shambulio la mashariki mwa DR Congo
Shambulio hilo lilitokea Jumapili jioni huko Bulongo katika jimbo la Kivu Kaskazini
-

Hukumu ya Sabaya na wenzake yaahirishwa
Awali Hukumu hiyo ilikuwa isomwe leo Mei 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, lakini imeaairishwa na Hakimu Mfawidhi Mkoa wa Arusha, Fadhili Mbelwa kwa maelezo kuwa hakimu Patricia Kisinda aliyekuwa akisikiliza…
-

Mahakama kuamua hatma ya Sabaya na wenzake leo
Hukumu hiyo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi huyo wa zamani na wenzake endapo wataachiwa huru, ama wataendelea kusalia kifungoni.
-

Senegal yawakamata watatu kwa vifo vya watoto wachanga kwenye moto hospitalini
Mkasa huo ulikuwa wa hivi punde zaidi katika mfululizo wa matukio mabaya yaliyoangazia mapungufu katika mfumo wa afya wa Senegal.








